bokomslag Biubwa Amour Zahor Mwanamke Mwanamapinduzi
Memoarer & biografier

Biubwa Amour Zahor Mwanamke Mwanamapinduzi

Zuhura Yunus

Pocket

339:-

Funktionen begränsas av dina webbläsarinställningar (t.ex. privat läge).

Uppskattad leveranstid 7-12 arbetsdagar

Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-

  • 226 sidor
  • 2021
Biubwa Amour Zahor : Mwanamke Mwanamapinduzi ni kitabu cha kipekee kabisa katika historia ya ushiriki wa wanawake kwenye harakati za Waafrika kijitawala,siyo kwa Zanzibar tu, bali kwa Tanzania nzima na Afrika kwa ujumla.

Ushiriki wa Biubwa katika Mapinduzi ya Zanzibar haukulenga kupata cheo wala sifa,bali kutoa mchango wake muhimu katika kuwezesha Mapinduzi, jambo ambalo ni nadra sana katika siasa. Biubwa ametoa mfano wa uwanamapinduzi unaotakiwa kuigwa na wengi ,hasa vijana wa jinsia zote wanaopenda nchi yao, ili kuhakikisha kuwa nchi yetu na Afrika yetu inasonga mbele.
  • Författare: Zuhura Yunus
  • Format: Pocket/Paperback
  • ISBN: 9789987735846
  • Språk: Engelska
  • Antal sidor: 226
  • Utgivningsdatum: 2021-11-01
  • Förlag: 978-9987-735-84-6