269:-
Uppskattad leveranstid 7-12 arbetsdagar
Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-
Kutana na Jua wakati anapofanya safari kutoka katika eneo lenye joto kali kuelekea kwenye nchi ya mbali yenye theruji mahali ambapo anajikuta akionekana tofauti na kila mmoja. Atapata marafiki wapya? Atakuwa na furaha katika nchi mpya? Piga mbizi katika kitabu hiki ili uone kitakachotokea katika safari hii ya ajabu ya Jua.
- Illustratör: Charity Russell
- Format: Pocket/Paperback
- ISBN: 9781739336523
- Språk: Swahili
- Antal sidor: 34
- Utgivningsdatum: 2024-07-23
- Förlag: Children