409:-
Uppskattad leveranstid 7-12 arbetsdagar
Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-
Kitabu hichi ni kidoto kisichokua na mrengo na ni mlango wa herufi ya nuni wenye kuelezea upande mwengine kabisa wa hadithi ya Mapinduzi ya Zanzibar na historia ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndani ya kitabu hichi mtakuna kwa mara ya kwanza na Jemedari halisi wa Mapinduzi ya Zanzibar ambaye si Mzee Abeid Amani Karume, wala si "Field Marshall" John Okello, na wala si Komredi Abdulrahman Babu.
- Format: Pocket/Paperback
- ISBN: 9780557384792
- Språk: Swahili
- Antal sidor: 528
- Utgivningsdatum: 2010-07-27
- Förlag: Lulu.com