209:-
Uppskattad leveranstid 7-12 arbetsdagar
Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-
Dhana (wazo) la shule ya manabii kwa vyovyote vile siyo mpya, kwa kweli nabii Samweli alikuwa mtu wa kwanza kuanzisha shule hii. Kwa kuwa jamii ya wa Kristadelfia wanaamini na kutegemea kabisa Biblia yote kuwa ndiyo msingi, kwa hiyo haitashangaza sisi kufuata desturi hii.
Kozi hii ina mafunzo ya mwalimu, imeanzishwa siyo iwe kama masharti ya kuendesha Ekklesia na taratibu za ibada , bali kozi hii inakuletea mfumo ambao ninyi wenyewe mtaweza kuamua njia iliyo bora ya kuendesha Ekklesia yenu.
Mafundisho yaliyomo humu yamekusudiwa kwa ajili ya Ekklesia za Tanzania; hata hivyo kanuni ni kwa ajili ya watu wote na kwa sababu hiyo zinaweza kutumiwa na watu wote hata kama wana mila na utmaduni tofauti.
Mwandishi
Mwandishi amefanya kazi ya kuhubiri nchini Tanzania kwa miaka zaidi ya ishirini na kuna wakati aliishi mwaka mzima akifanya kazi ya kuhubiri akitembea mji hadi mji mwingine akihubiri na kufundisha jinsi ya kufundisha.

- Format: Pocket/Paperback
- ISBN: 9781291532555
- Språk: Swahili
- Antal sidor: 98
- Utgivningsdatum: 2013-08-21
- Förlag: Lulu.com