bokomslag Mon plus beau rve - Ndoto yangu nzuri sana kuliko zote (franais - swahili)
Barnböcker

Mon plus beau rve - Ndoto yangu nzuri sana kuliko zote (franais - swahili)

Ulrich Renz

Pocket

269:-

Funktionen begränsas av dina webbläsarinställningar (t.ex. privat läge).

Uppskattad leveranstid 5-10 arbetsdagar

Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-

  • 36 sidor
  • 3-6 år
  • 2024

Livre bilingue pour enfants, français - swahili

Lulu ne peut pas s'endormir. Toutes ses peluches sont déjà en train de rêver - le requin, l'éléphant, la petite souris, le dragon, le kangourou et le bébé lion. Même Nounours a du mal à garder ses yeux ouverts ...

Eh Nounours, tu m'emmènes dans ton rêve ?

C'est ainsi que Lulu part en voyage qui l'emmène à travers les rêves de ses peluches - et finalement dans son propre rêve, le plus beau rêve.

NOUVEAU : Avec modèles de coloriage à imprimer ! Les illustrations de l'histoire peuvent être téléchargées via un lien dans le livre pour être coloriées.

Les apprenants du swahili trouveront en annexe des tableaux grammaticaux utiles.



Kitabu cha watoto cha lugha mbili, Kifaransa - Kiswahili

Lulu hawezi kulala. Mwanasesere zake zote wanaota sasa - papa, tembo, panya mdogo, dragoni, kangaruu na kitoto cha simba. Hata dubu ana shida kuendelea kufungua macho yake ...

Dubu, je, utanipeleka kwenye ndoto yako?

Huu ni mwanzo wa safari ya Lulu iliyomwongoza ndani ya ndoto ya mwanasesere zake - na mwisho kwenye ndoto yake nzuri sana kuliko zote.

Kitabu hiki cha picha kimetafsiriwa kwa lugha nyingi sana na kinapatikana kama toleo la lugha mbili katika muungano wa lugha ziwezekanazo.

MPYA: Kwa picha za kupaka rangi! Kiungo cha kupakua katika kitabu kinakupa ufikiaji wa bure kwenye picha za hadithi.

  • Författare: Ulrich Renz
  • Illustratör: Cornelia Haas
  • Format: Pocket/Paperback
  • ISBN: 9783739963914
  • Språk: Franska
  • Barnbok: 3-6 år
  • Antal sidor: 36
  • Utgivningsdatum: 2024-03-03
  • Översättare: Martin Andler
  • Förlag: Sefa Verlag