bokomslag Ongeza ufahamu wako kuhusu maombi
Filosofi & religion

Ongeza ufahamu wako kuhusu maombi

Samuel Aswile

Pocket

219:-

Funktionen begränsas av dina webbläsarinställningar (t.ex. privat läge).

Uppskattad leveranstid 7-12 arbetsdagar

Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-

  • 166 sidor
  • 2024
Kitabu hiki ni matokeo ya somo tulio kuwa tunajifunza katika semina ya neno la Mungu . Roho mtakafu ameweka msukumo ndani yangu nikushirikishe somo hili kwa njia ya kitabu hiki. Ukiwa umesoma mpaka sentensi hii basi umekuwa sehemu ya wale walio teuliwa kuijua siri ya maombi kupitia kitabu hiki, nakushi sana ukisoma kitabu hiki. Ndani ya kitabu hiki utanifunza mambo mengi,ikiwemo kupata majibu ya maswali ambayo waamini wengi hujiuliza kuhusu maombi wamwombayo Mubgu kama:kama:kwa nini tunaomba Mungu ikiwa Mungu anatupenda?.Je Maombi hujibiwa na Mungu?.Nani anapaswa kuwa mwombaji?.4. Je naweza kuomba chochote nikapewa?.Haya ni badhi tu ya maswali unayoweza kupata majibu yake ndani ya kitabu hiki. Kuna mengi sana utajifunza kuhusu imani ya kikristo. Karibu tujifunze pamoja kusudi upate kuijua siri ya maombi ukue kiroho.

  • Författare: Samuel Aswile
  • Format: Pocket/Paperback
  • ISBN: 9798227120762
  • Språk: Swahili
  • Antal sidor: 166
  • Utgivningsdatum: 2024-10-07
  • Förlag: Samuel Aswile