bokomslag Siku Njema - Kitabu Kinachokusaidia Uwe na Afya Njema ya Akili
Familj

Siku Njema - Kitabu Kinachokusaidia Uwe na Afya Njema ya Akili

Craig Lewis

Pocket

279:-

Funktionen begränsas av dina webbläsarinställningar (t.ex. privat läge).

Uppskattad leveranstid 7-12 arbetsdagar

Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-

  • 82 sidor
  • 2019
Kitabu hiki kinawasaidia wale wanaohangaikia kupata nafuu na wale ambao tayari wako katika mchakato huo. Kwa sababu kinawapa changamoto na kinaeleza mambo kwa njia halisi sana, ya kawaida, na ya wazi kabisa, hivyo kinawawezesha kufanya marekebisho sahihi kabisa katika maisha yao. Uzuri wa masomo ya kitabu hiki ni kwamba watu wanapenda kuyafanya, wala hawahisi wanafuata ratiba fulani ya kila siku, au wanalazimishwa kufanya jambo fulani, kwa sababu kila ukurasa unamtia moyo mtu kufikiri kwa njia halisi na itakayomnufaisha. Jambo hilo linamfanya mtu ahisi vizuri anaposhughulikia hali yake.
Yote yaliyo katika kitabu hiki ni mambo yalitokea katika maisha yangu binafsi na mambo niliyofanya ili kupona au kupata nafuu. Kila ukurasa umetumiwa kwa mafanikio sana katika programu za watu wenye matatizo yanayofanana kusaidiana wenyewe kwa wenyewe.
  • Författare: Craig Lewis
  • Format: Pocket/Paperback
  • ISBN: 9781794801097
  • Språk: Swahili
  • Antal sidor: 82
  • Utgivningsdatum: 2019-12-31
  • Förlag: Lulu.com