Uppskattad leveranstid 7-12 arbetsdagar
Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-
1:1 In the beginning God created the heaven and the earth.
1:1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
1:2 And the earth was without form, and void; and darkness was upon the face of the deep. And the Spirit of God moved upon the face of the waters.
1:2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu; na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi. Na Roho wa Mungu akatulia juu ya uso wa maji.
1:3 And God said, Let there be light: and there was light.
1:3 Mungu akasema, Iwe nuru;
1:4 And God saw the light, that it was good: and God divided the light from the darkness.
1:4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenganisha nuru na giza.
1:5 And God called the light Day, and the darkness he called Night. And the evening and the morning were the first day.
1:5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya kwanza.
- Format: Pocket/Paperback
- ISBN: 9781835668412
- Språk: Swahili
- Antal sidor: 230
- Utgivningsdatum: 2024-12-15
- Översättare: Tranzlaty
- Förlag: Tranzlaty