bokomslag Vitimbi vya Mama wa Kambo
Skönlitteratur

Vitimbi vya Mama wa Kambo

Ally Yusufu Mugenzi

Pocket

419:-

Funktionen begränsas av dina webbläsarinställningar (t.ex. privat läge).

Uppskattad leveranstid 7-12 arbetsdagar

Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-

  • 162 sidor
  • 2020

Vitimbi vya Mama wa Kambo, Wivu, Radhi za Wazazi, Raki Maluuni, Mchumba Kaka na Adui Mama ni hadithi zinazosawiri jamii alimochipukia mwandishi, au kuishi na kufanya kazi akiwa polisi, mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio katika nchi za Tanzania, Rwanda, Burundi na Uingereza kwa takriban miaka 40. Kitabu hiki ni matokeo ya maombi ya watu wengi waliomsikiliza akizisimulia katika kipindi cha Hadithi na Muziki cha Redio Rwanda katika miaka ya 1980 na 1990. Hadithi hizi pia zimekuwa zikitumiwa na wakuza mitaala wa Kiswahili nchini Rwanda shuleni na zimewafurahisha wapenzi wengine wa fasihi nje ya shule.

  • Författare: Ally Yusufu Mugenzi
  • Format: Pocket/Paperback
  • ISBN: 9789987084081
  • Språk: Swahili
  • Antal sidor: 162
  • Utgivningsdatum: 2020-12-03
  • Förlag: Mkuki na Nyota Publishers