329:-
Uppskattad leveranstid 7-12 arbetsdagar
Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-
Mchezo wa kupata shabaha umepata umaarufu sana katika kijiji cha Chaka. Wakati huo huo, uwanja wa Shule ya Msingi ya Chaka umejaa mifugo na wachungaji, wanaokuja uwalisha mifugo na pia kucheza mchezo huo. Je, mchezo huo utaleta mashaka? Je, ni kipi kinachowasukuma vijana kukiuka sheria za msitu? Na je, watapata adhabu gani kwa kuvunja sheria za msitu huo? Soma hadithi hii upate uhondo.
- Format: Pocket/Paperback
- ISBN: 9789966479617
- Språk: Swahili
- Antal sidor: 56
- Utgivningsdatum: 2022-07-18
- Förlag: Phoenix Publishers