bokomslag Mwavyaji wa Roho na Hadithi Nyingine
Skönlitteratur

Mwavyaji wa Roho na Hadithi Nyingine

Sanja Leonard

Pocket

169:-

Funktionen begränsas av dina webbläsarinställningar (t.ex. privat läge).

Uppskattad leveranstid 7-12 arbetsdagar

Fri frakt för medlemmar vid köp för minst 249:-

  • 186 sidor
  • 2022
This book is in Swahili

Huu ni mkusanyiko unaoleta pamoja mawazo, hisia na fikra za waandishi mahiri kuhusu jamii. Ni juhudi za kuakisi ukweli wa hali halisi ilivyo na kuchorea msomaji taswira kamili kuhusu madhila ya uongozi, njaa, madawa ya kulevya na mahusiano ya kijamii; kwa ujumla yaliyodorora. Wakati huo huo, wanamzidua juu ya mabadiliko; kuu likiwa kupatikana kwa katiba mpya. Waandishi basi hawakuzungumzia madhila tu ila wanapendekeza jinsi suluhu ya baadhi ya matatizo inavyoweza kupatikana. Tashtiti, maswali ya balagha na tashbibi zilizoshamiri katika nyingi za hadithi hizi zinadhihirisha uchungu, kero, dhiki na kiu ya waandishi; msumo wa kutaka kuhusika na kujihusisha na kupatikana kwa jamii bora. Wanaamini haya ndio matamanio ya wasomaji na jamii kwa jumla.

Bwana Sanja Leonard L, mhariri wa diwani hii ni mwandishi wa hadithi fupi, riwaya, tamthilia na mashairi. Kazi zake ya fasihi zilizochapishwa ni pamooja na Yasinya, Zinguo la Mzuka, Mimba Ingali Mimba na Kasalia. Hizi za mwisho mbili ni hadithi fupi. Kwa sasa anahitimisha masomo ya shahada ya juu katika Chuo Kikuu cha Kenyatta.

This is a collection that brings together the ideas, feelings and thoughts of brilliant writers about society. It is an effort to reflect the reality of reality and to paint the reader a complete picture of the consequences of leadership, hunger, drugs and social relations; generally declining. At the same time, they are pushing him to change; the main being the availability of a new constitution. The authors then not only addressed the issue but also suggested how a solution to some of the problems could be found. Rhetorical questions in many of these stories express the bitterness, annoyance, distress and thirst of the writers; the urge to get involved and to get involved and to find a better society. They believe this is the desire of readers and society as a whole.

About author
Mr. Sanja Leonard L, editor of this council is a writer of short stories, novels, plays and poems. Her published works include Yasinya, Ghost Dress, Pregnancy and Kasalia. These last two are short stories. He is currently completing his undergraduate studies at Kenyatta University.
  • Författare: Sanja Leonard
  • Format: Pocket/Paperback
  • ISBN: 9789966011572
  • Språk: Engelska
  • Antal sidor: 186
  • Utgivningsdatum: 2022-03-04
  • Förlag: Focus Publications Limited